Search This Angaza Gospel
Wednesday, 7 October 2020
YESU KRISTO Rafiki wa heri.
Nitaongozwa na Bwana usiku kucha na mchana.
TENZI ZA ROHONI NO. 158
____________________________________________
Aniongozapo pote,
Nimwandame Siku zote.
Kwa ajili yangu Mimi
Aliuawa kalvari.
Nitaongozwa na Bwana
Usiku kucha na Mchana,
Yesu, Rafiki wa heri;
Ninakumbuka kalvari.
Lanitosha neno lake,
Nishikwe na mkono wake.
Mapenzi yake ni heri,
Yalitimizwa kalvari.
Nitaendelea mbele
Pamoja naye milele.
Pendo lake ni hiari,
Bwana Yesu wa kalvari.
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
Nitaongozwa na Bwana usiku kucha na mchana. TENZI ZA ROHONI NO. 158 ____________________________________________ Aniongozapo p...