Search This Angaza Gospel
Thursday, 17 December 2020
Wednesday, 16 December 2020
Monday, 14 December 2020
Tuesday, 8 December 2020
MUNGU anaweza, MUNGU anajibu maombi.
"Usiogope, maana hutatayarika, wala usifadhaike ;maana hutaaibishwa, kwa kuwa utasahau aibu ya ujana wako, pia mashutumu ya ujane wako hutayakumbuka tena" Isaya 54:4
BWANA MUNGU Nashangaa kabisa.
Roho yangu na ikuimbie,Jinsi wewe ulivyo Mkuu, Roho yangu naikuimbie Jinsi wewe ulivyo Mkuu.
__________________________________________
NYIMBO ZA WOKOVU no.300
1.Bwana Mungu, nashangaa kabisa,
Nikifikiri Jinsi ulivyo,
Nyota, ngurumo, vitu vyote pia,
Viumbwavyo kwa uwezo wako.
Roho yangu na ikuimbie, Jinsi wewe
Ulivyo Mkuu. Roho yangu na ikuimbie,
Jinsi wewe ulivyo mkuu.
2.Nikitembea pote duniani,
Ndege huimba nawasikia.
Milima hupendeza Macho sana,
Upepo nao nafurahia.
3.Nikikumbuka vile wewe Mungu,
Ulivyom-peleka mwanao,
Afe azichukue dhambi zetu,
Kuyatambua ni vigumu mno.
4.Yesu mwakozi utakaporudi,
Kunichukua kwenda mbinguni,
Nitaimba sifa zako milele,
Wote wajue jinsi ulovyo.
Monday, 7 December 2020
Sunday, 6 December 2020
Friday, 4 December 2020
Thursday, 3 December 2020
Wednesday, 2 December 2020
Tuesday, 1 December 2020
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
Nitaongozwa na Bwana usiku kucha na mchana. TENZI ZA ROHONI NO. 158 ____________________________________________ Aniongozapo p...